Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yeah
You said it well na kwa Reagan Nancy was so hlepful in keeping him under control
 
Kamsaidia aje??
Kumuwekea picha zake za uchi mitandaoni?
Hivi huyu akiamua kujiua saahii unafikiri huyo "aliyesaidia kumwambia mwanaume mwenzenu anaibiwa" Hata feel guilty??
Come on ice
Ukatili tu hakuna cha kumsaidia "mwanaume mwenzetu" wala nini. Kwa kulala na mke wa mtu hata yeye mwenyewe hana haki yo yote ya kumfanyia hivi huyo mzinzi mwenzake. Karma will get him - ama kwa mkewe au mabinti zake. Karma never forgets...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…