Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kamsaidia aje??
Kumuwekea picha zake za uchi mitandaoni?
Hivi huyu akiamua kujiua saahii unafikiri huyo "aliyesaidia kumwambia mwanaume mwenzenu anaibiwa" Hata feel guilty??
Come on ice
Nooo!
We shouldnt feel sorry for her
Angekuwa ana boyfriend tu ningesema issokey because you are single till you are married na ninge mkemea msambazaji

Lakini for a married woman simuonei huruma that is a deserved impact of her sin
 
Dah!!
Ana deserve kuwekwa kwa social media akiwa uchi??
Imagine huyo ni sista ako ama hata mwanamke yeyote kwa familia yako ungesema hivyo??
Na imagen huyo ni mzazi wangu

Lakin dado sijioni niki badilisha kauli sge deservs it. Katika makosa ambayo huwa siyaonei huruma duniani ni kosa la kutoka nje ya ndoa
I hate it so much.
Nimeona watu wanavo umizwa na hiyo ishu is not gud.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…