Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Waoaji kama wewe bro inabidi muwe makini na machaguo yenu.
Hili janga linatuhusu wanaume wote bro, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maana hata ww ulisema bado hujaoa,,So kuwa makini bro kwenye machaguo yako,,, umtafute hasa mwenye hofu ya Mungu, atleast kdogo unaweza furahia ndoa
 
6: Kiatu kinachotumia bluetooth
Kampuni ya HSG-IMIT ilizindua kiatu kinachojulikana kama “smart shoes” kwa mara kwanza mwaka 2016 katika maonyesho ya Consumer Electronics, kiatu hiki kinauwezo wa kuunganishwa na bluetooth ya simu yako ambapo unaweza kufunga na kufungua mikanda ya viatu kwa kutumia smart phone yako.
 
7: Mkanda wa kuzuia unene
Mwaka 2016 kampuni ya Samsung ilizindua mkanda maalum ambao mtu akiuvaa unamsaidia kujua ale chakula kiasi gani ili asinenepe, mtumiaji wa mkanda huu anaweza kuufunga na kufungua kwa kutumia simu yake ya mkononi.
 
Wakifundwa wanafundwa jinsi ya kukata mauno na mambo mengine. Mambo ya msingi yanaachwa. Mauno ni muhimu but is not everything hasa kwa mwanaume anayejielewa na mwenye malengo mapana ili kuwa na successful and happy marriage...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…