Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1: Kiatu chenye kiyoyozi
Hii ni moja ya teknolojia ambayo ilistajabisha watu wengi baada ya kampuni ya Hydro-Tech kutengeneza kiatu ambacho kina kiyoyozi kinachosaidia mvaaji wa viatu hivyo kupata ubaridi akiwa sehemu zenye joto kali.kiatu hiki kinauzwa dola 75.
 
2: Jacket unayoweza kufanya kama TV
Mwaka 2015 kampuni ya Lenovo ilizinduwa jacket inayojulikana kama “screen jacket” ambayo unaweza kuigeuza na kuifanya Tv ambayo unaweza kuangalia vipindi mbambali. ,jacket hili pia limewekewa program kama Netflix ambapo mtu anaweza kuangalia movie .
 
3: Kifaa cha kupoozea chakula
Kifaa hiki cha kupoozea chakula cha moto kilitengezwa na kampuni Tech E kutoka Japan, Lengo la designer aliyekibuni kifaa hichi ni kusaidia kupoza chakula cha moto hasa kwa watoto.
 
4: Kifaa cha kuangalia movie huku unatembea
Kifaa hiki chenye muundo wa kofia kimebuniwa na kampuni ya B-tech kwa ajili ya watu wanaopenda kuangalia movie peke yao bila bughudha ,kifaa hiki kilipata umaarufu mkubwa mwaka 2015 na kiliuzwa zaidi ya pisi milioni 5 duniani kote.
 
Kweli bro. Hakuna mwanaume anayetaka mwanamke mapepe. Kila siku gubu na maneno ndani ya nyumba. Mafumbo na misemo ya kitoto. Mtu mpaka unaogopa kurudi home baada ya kazi. Si afadhali niishi peke yangu tu? Wanaume are very simple creatures. I wish wanawake wangetuelewa...

To me - to hell with mbunye tamu na mapishi ya kimataifa. I can get that anywhere anytime I want. All I need is peace. Peace in my home. Peace in my relationahip. I need a friend who respects me as I am. Who cares...Mwanamke asiyelielewa hili hata kama angekuwa mzuri kama malaika na chef wa kimataifa kwangu ni useless bro...
Bro,, umeongea kwa hisia kali sana, ulichokisema ni ukweli mtupu, wanaume wengi tunahitaji peace, hasa pale tunaporudi home toka kwenye mihangaiko ya kila siku, tunahitaji faraja,, Unarudi home baada ya salamu tu, mtu anaanza kukuelezea matukio mara vile mara hv, hata hajui huko ulikotoka umetoka kwa amani ama umekwazana anachotaka ni umtatulie matatzo yake, umsikilize yy,, sometime anakuwa hata hajui huyu mtu yupo kwenye mood gani,, anawashia gia angani tu, makelele mtindo mmoja!!
 
4: Kifaa cha kuangalia movie huku unatembea
Kifaa hiki chenye muundo wa kofia kimebuniwa na kampuni ya B-tech kwa ajili ya watu wanaopenda kuangalia movie peke yao bila bughudha ,kifaa hiki kilipata umaarufu mkubwa mwaka 2015 na kiliuzwa zaidi ya pisi milioni 5 duniani kote.
 
5: Kifaa cha kukupa ulinzi
Mwaka 2016 kampuni ya Techstars ilizindua kifaa maalum ambacho kinaweza kutuma taarifa kwa familia na marafiki iwapo mvaaji amepatwa na tatizo kwani itaonesha mahali alipo, Kifaa hiki kilibuniwa mahususi kwa ajili ya Wanawake wanapopata matatizo hasa ya kuvamiwa na kubakwa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Waoaji kama wewe bro inabidi muwe makini na machaguo yenu.
Hakuna cha machaguo wala nini. Mimi naamini kuwa kuchapiwa ni inevitable. Ongea na watu huko maofisini watakwambia mambo yanayoendelea huko. Utakata hata tamaa ya kuoa. Na kama unaogopa UKIMWI kama mimi basi utakuwa na wakati mgumu sana !!!
 
5: Kifaa cha kukupa ulinzi
Mwaka 2016 kampuni ya Techstars ilizindua kifaa maalum ambacho kinaweza kutuma taarifa kwa familia na marafiki iwapo mvaaji amepatwa na tatizo kwani itaonesha mahali alipo, Kifaa hiki kilibuniwa mahususi kwa ajili ya Wanawake wanapopata matatizo hasa ya kuvamiwa na kubakwa.
 
6: Kiatu kinachotumia bluetooth
Kampuni ya HSG-IMIT ilizindua kiatu kinachojulikana kama “smart shoes” kwa mara kwanza mwaka 2016 katika maonyesho ya Consumer Electronics, kiatu hiki kinauwezo wa kuunganishwa na bluetooth ya simu yako ambapo unaweza kufunga na kufungua mikanda ya viatu kwa kutumia smart phone yako.
 
Kweli bro. Hakuna mwanaume anayetaka mwanamke mapepe. Kila siku gubu na maneno ndani ya nyumba. Mafumbo na misemo ya kitoto. Mtu mpaka unaogopa kurudi home baada ya kazi. Si afadhali niishi peke yangu tu? Wanaume are very simple creatures. I wish wanawake wangetuelewa...

To me - to hell with mbunye tamu na mapishi ya kimataifa. I can get that anywhere anytime I want. All I need is peace. Peace in my home. Peace in my relationahip. I need a friend who respects me as I am. Who cares...Mwanamke asiyelielewa hili hata kama angekuwa mzuri kama malaika na chef wa kimataifa kwangu ni useless bro...
umenena vyema bro. Mwanamke kumwelewa yahitaji page zisizopungua 500, wengi wao wanaamini katika uzuri wao.
 
Back
Top Bottom