Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji106] [emoji106] [emoji106]
Kweli bro. Hakuna mwanaume anayetaka mwanamke mapepe. Kila siku gubu na maneno ndani ya nyumba. Mafumbo na misemo ya kitoto. Mtu mpaka unaogopa kurudi home baada ya kazi. Si afadhali niishi peke yangu tu? Wanaume are very simple creatures. I wish wanawake wangetuelewa...

To me - to hell with mbunye tamu na mapishi ya kimataifa. I can get that anywhere anytime I want. All I need is peace. Peace in my home. Peace in my relationahip. I need a friend who respects me as I am. Who cares...Mwanamke asiyelielewa hili hata kama angekuwa mzuri kama malaika na chef wa kimataifa kwangu ni useless bro...
 
Back
Top Bottom