Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ima watu wana maneno they let women iff the hook on anything
Ingekuwa ni mume wa mtu alitoka nje ya ndoa halaf kuna dada akasambaza picha za kibamia chake
Watu wange enjoy tuuu
You know why. Mfumo dume ndiyo unarun dunia and catching a break once in a while ain't that bad [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hakuna cha machaguo wala nini. Mimi naamini kuwa kuchapiwa ni inevitable. Ongea na watu huko maofisini watakwambia mambo yanayoendelea huko. Utakata hata tamaa ya kuoa. Na kama unaogopa UKIMWI kama mimi basi utakuwa na wakati mgumu sana !!!
Kuna jamaa alikuta wife wake analiwa,maana alikuwa anaambiwa halafu haamini, basi siku wadau wakamwambia twende sehemu, kumbe wamemshuhudia wife wa jamaa anapelekwa lodge,ile jamaa kufika ikabidi akachungulie dirishani, kuchungulia hv, akasema huyu ni nani? Wadau wakamwabia mke wako, jamaa akasema mke wangu sio kiwete aisee, wakamwambia chungulia tena, ile anachungulia jamaa ndo anafika climax, anamuachia dada wa watu, dada yupo hoi,,, jamaa kucheki sura, akaanguka na kuzimia hapo hapo!!! Tru story
 
Kiungo wa kati wa Liverpool James Milner, 32, anasema anazungumza na watoto wake kwa lugha ya kihispani baada ya kujifunza lugha hiyo ili aweze kuzungumza na wachezaji wenznai wa zamani huko Manchester City David Silva na Pablo Zabaleta. (Times - subscription required)
 
7: Mkanda wa kuzuia unene
Mwaka 2016 kampuni ya Samsung ilizindua mkanda maalum ambao mtu akiuvaa unamsaidia kujua ale chakula kiasi gani ili asinenepe, mtumiaji wa mkanda huu anaweza kuufunga na kufungua kwa kutumia simu yake ya mkononi.
Hata sasa nimevaa fitbit mkononi. Inaonyesha mapigo ya moyo, presha, hatua ambazo nimeshapiga tangu kuche, umbali niliotembea, calories ambazo nimeingiza na kuunguza, masaa niliyolala, masaa ambayo nimebweteka, kiasi cha maji niliyokunywa n.k. Inasaidia kwa kweli kujua kinachoendelea 24/7. Teknolojia nzuri sana !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…