Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kiungo wa kati wa Liverpool Emre Can, 24, atajiunga na Juventus mwisho mwa mwezi huu huku mkurugenzi mkuu wa mabingwa hao wa Italia Giuseppe Marotta akisema anataka kukamilisha mpango huo ndani ya siku 10. (Gazzetta dello Sport - in Italian)
 
Kuna jamaa alikuta wife wake analiwa,maana alikuwa anaambiwa halafu haamini, basi siku wadau wakamwambia twende sehemu, kumbe wamemshuhudia wife wa jamaa anapelekwa lodge,ile jamaa kufika ikabidi akachungulie dirishani, kuchungulia hv, akasema huyu ni nani? Wadau wakamwabia mke wako, jamaa akasema mke wangu sio kiwete aisee, wakamwambia chungulia tena, ile anachungulia jamaa ndo anafika climax, anamuachia dada wa watu, dada yupo hoi,,, jamaa kucheki sura, akaanguka na kuzimia hapo hapo!!! Tru story
Watu wamekula Maini yake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nacheka kama mazuri
 
Mimi hili janga halinihusu bro
Si juzi juzi umesema unataka kuoa wewe. Mjulishe kabisa at the very onset what you can't tolerate. Make it clear kuwa ukisikia tu kakawa chenza la Andjul nje basi ni talaka moja kwa moja no negotiations. Akijua hivyo inasaidia hata akija kufanya unajua tu kafanya kwa makusudi kwa sababu she doesn't care...
 
Back
Top Bottom