Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwingineko United hawama uhakika ikiwa watamwinda kiungo wa kati wa Lazio Sergej Milinkovic-Savic, baada ya klabu hiyo ya Italia kutangaza bei ya mchezaji huo kuwa pauni milioni 87.5 kwa raia huyo Serbia. (Mail)
 
Manchester City wanaandaa pauni milioni 52 kumnunua kuingo wa kati wa Napoli Jorginho. Mchezaji huyo wa kimataifa raia wa Italia mwenye umri wa miaka 26 kwa muda mrefu amekuwa kwenye orodha ya Pep Guardiola wakati anatamfuta kiungo mpya wa kati. (Calciomercato via Talksport)
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bro,,Unachotakiwa ni kuamini kuwa mke hacheat hata km anacheat amini tu kuwa hacheat,,,, mbaya kumkamata live, bt km unasikia tu,, usitilie manani,, utashindwa fanya vtu vyako vya msingi bro [emoji23][emoji23]
Ila sasa bro kuna kuleteana magonjwa kama UKIMWI na mengineyo. Hapo inakuwaje sasa?
 
Kwani Le Mutuz watu hawakumhurumia mkuu?

By the way, we are different and we can't have the same outlook on everything...
Hawakumhurumia na wasinge mhurumia
Women sku zote uwa wanakuwa off the hook. Tena kama le mutuz alionewa kwakuwa yeye hajaoa hakuwa ana mcheat mtu yyte
Ila ikitokea kwa wanaume hakuna anaye watetea
 
Back
Top Bottom