Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,275
- 80,330
Yasingemkuta ndio, lakini hata huyo aliyechepuka nae hana busara hata chembe, kwani angekula tu kimyakimya pasipo kumdhalilisha mama wa watu kungekuwa na tatizo???Yule aliepigwa picha angekuwa na tabia kama yako, na msimamo Kama wako yasingemkuta yale au unaonaje???