Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuhusu kampuni ya SHELL na kutimuliwa kwake Tanzania
tapatalk_1527313419670.jpg
 
Twende kwa Yesu mimi nawe,
Njia atwonya tuijue
Imo Chuoni; na Mwenyewe,
Hapa asema, Njoo!

Na furaha tutaiona,
Mioyo ikitakata sana,
Kwako, Mwokozi, kuonona,
Na milele kukaa.

"Wana na waje," atwambia.
Furahini mkisikia;
Ndiye mfalme wetu pia,
Na tumtii, Njoo.

Wangojeani? Leo yupo;
Sikiza sana asemapo;
Huruma zake zikwitapo,
Ewe kijana, Njoo.
Ameen
 
Back
Top Bottom