Yasingemkuta ndio, lakini hata huyo aliyechepuka nae hana busara hata chembe, kwani angekula tu kimyakimya pasipo kumdhalilisha mama wa watu kungekuwa na tatizo???Yule aliepigwa picha angekuwa na tabia kama yako, na msimamo Kama wako yasingemkuta yale au unaonaje???
Msela anaweza kuwa fala pia ingawa kwa udokozi wake na bange anazovuta anaweza asijione kama yeye ni fala. Ila siyo wote ujueKuna tofauti kubwa kati ya msela na fala
Braza haya ni kama maishaMnajua tulikuwa timu kubwa sana hapa
Shemeji shemejii oyooooHabari ya hapa ndani wapendwa wa Mungu
Shemeji [emoji4] tumeamka salama. Kaka yako anakusalimia sana.Shemeji shemejii oyoooo
Mmeamkaje hapo jamani?
Hakuna shda nimewaona wote mmeamka muda mmoja hapo.Shemeji [emoji4] tumeamka salama. Kaka yako anakusalimia sana.
Shuka linalopumua au [emoji23][emoji23]Hakuna shda nimewaona wote mmeamka muda mmoja hapo.
Mi mwenyewe nime amka salama na shuka langu hapa maisha yana songa
Hamna mwenyewe tuuShuka linalopumua au [emoji23][emoji23]
Hahaaaa siamini kwako shemeji [emoji23][emoji23]Hamna mwenyewe tuu
Asiye na mwana aeleke jiwe [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaaaa siamini kwako shemeji [emoji23][emoji23]
Kwahyo uonavyo wewe chanzo nani?Yasingemkuta ndio, lakini hata huyo aliyechepuka nae hana busara hata chembe, kwani angekula tu kimyakimya pasipo kumdhalilisha mama wa watu kungekuwa na tatizo???
[emoji7]Habari ya hapa ndani wapendwa wa Mungu
Safi braza1. Mungu ni pendo, apenda watu
Mungu ni pendo anipenda
Sikilizeni furaha yangu
Mungu ni pendo anipenda
2. Nilipotea katika dhambi
Nikawa mtumwa wa shetani
3. Akafa Yesu kanikomboa
Yeye kanipa kuwa huru
4. Sababu hii namtumikia
Namsifu yeye siku zote