carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Mimi nimeingiaje kwa hii stori yenu ya salamu tena?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Carba mzima pia
Mimi nimeingiaje kwa hii stori yenu ya salamu tena?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Carba mzima pia
We hutaki nini???
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi nataka tu kujua kwanini baada ya kuja hukukaa ukahepa??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaogopa nini kwani??
Ngoja nikajibu swali la thad sasa[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Despite everything wewe ni mmbea. [emoji23][emoji23][emoji23]
Ujue kuna vitu vingine hatutakiwi hata kubishana kabisa...Unaona ni mke wa mtu muache, usimfanye dada/mama wa watu akadhalilika bure..Mbunye mbona nyingi tu iweje utafute ya mke wa mtu????Womanhood sio???
Carba hutaki wimbo mzuri nime kudediketi?Na mimi sitaki
Aaaah
Mmenitoa kijasho [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], huwa kuna mjinga na mpumbavu..Mama kawa mjinga, mwanaume kawa mpumbavu...Akili ya yule mwanamke pia mbovu
Samahana kwa kuingilia
Hivyo vitu special ni kwa watu special
We all know itMimi nilishakaa hadi kwenye vikao vya familia kusuluhisha ugomvi wao[emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu huo si umbea,familia inajua
Basi ntakuletea zawadi to make it upHii fimbo ya leo nitakuchapa nayo hadi uombe poo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Samahani lakiniMfyuuuuuu[emoji36][emoji36][emoji36]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nlienda kuusoma mchezo kwanza maana nlijua kuna hatari pale
We unajua mi sitaki niniUlichokikataa wewe
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Niamini mimi bro