Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu zako tena na tena,yaani ukikaa mfyuu,ukiinuka mfyuuu,ukitembea mfyuuuu[emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji57][emoji57]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Truth must be Told
 
BiAGa_dBtlT.jpg
 
Wanakwambia mke wa mtu hana gharama.
Na unaweza kuta huyo mama alishamwambia jamaa mimi ni mke wa mtu.
Huyo mama ana makosa yake sawa,lakini hili la kumpiga picha na kumuanika hadi jina na sura linaumiza.
Ni ukosefu wa akili tu,tena hilo janaume utakuta linajisifu saahizi nimemkomesha.

Wenyewe wanakwambia kuchapiwa kunauma,sisi tuna mioyo ya chuma maa
Ndo wajue pia kama wao wavyopata hayo maumivu nasi yaweza kuwa ni zaidi ya hayo...
Sijui wakoje tu.
 
Back
Top Bottom