carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Braza nakuandikia kwa herufi kubwa
HIVYO VITU SPECIAL NI KWA WATU SPECIAL TU.
Sio kwa kila mtu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mara paaap!gari zimegongana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu zako tena na tena,yaani ukikaa mfyuu,ukiinuka mfyuuu,ukitembea mfyuuuu[emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji57][emoji57]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaaah! Those days!
Mweeh!
DaaahKwendaaaaa[emoji36][emoji36]
Carba siyo KILA MTUBraza nakuandikia kwa herufi kubwa
HIVYO VITU SPECIAL NI KWA WATU SPECIAL TU.
Sio kwa kila mtu
You like him?[emoji35]
Uspecial huo kautoa wapi braza kuwa siriasi
Special unajua vitu special ww??
[emoji23]
Cole alimdediketia Sweetlee nikaona ni wimbo mzuriYaani mtu kadediketiwa na wewe unachukua hiyo unanidediketia??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naomba unitake radhi pyaar kikojoleo changu wala sikitembezi na kina muda mrefu sana hakija tumika kwa matumizi hayo please
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio wewe au [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji6]
Aaa
Mwanaume mjinga alikuwa hajui amy expose vipi mama
Ila.mama mpumbavu katikoa nje ya ndoa halaf anadhani atabaki salama
Dhambi ile itamtafuna tuu
Bro inabidi ujitafakariCarba siyo KILA MTU
Nlisha kwambia she special
Haya mpe wimbo wake bro
Ndo wajue pia kama wao wavyopata hayo maumivu nasi yaweza kuwa ni zaidi ya hayo...Wanakwambia mke wa mtu hana gharama.
Na unaweza kuta huyo mama alishamwambia jamaa mimi ni mke wa mtu.
Huyo mama ana makosa yake sawa,lakini hili la kumpiga picha na kumuanika hadi jina na sura linaumiza.
Ni ukosefu wa akili tu,tena hilo janaume utakuta linajisifu saahizi nimemkomesha.
Wenyewe wanakwambia kuchapiwa kunauma,sisi tuna mioyo ya chuma maa
Nambie basi nkuletee nini Carba wanguStaki[emoji124][emoji124][emoji124]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Halaf Cole alikuwa ana niulizia mara mbili mbili hapo mimi nimekaa nasema mungu wangu [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] ajalii hiyo.