Ujue kuna vitu vingine hatutakiwi hata kubishana kabisa...Unaona ni mke wa mtu muache, usimfanye dada/mama wa watu akadhalilika bure..Mbunye mbona nyingi tu iweje utafute ya mke wa mtu????
Simtetei mama kuwa hana makosa, makosa anayo, lakini kwanini ampige picha mwenzie???
Halafu nyie wanaume sijui mkoje tu, nyie mnavitembeza hivyo vikojoleo vyenu nje ya mahusiano/ndoa kila siku lakini mpenzi wa kike/mke akikosea akatoka hata mara moja inakuwa shida...Mwafikiri sie mioyo yetu imeundwa kwa vyuma????