Kuna familia ya ndugu yangu watoto wamelelewa vibaya mno si ajabu kusikia akimtukana baba au mama mtu nyoko mbwa etc,au mama mtu akitaka kumuadhibu mtoto anaropoka eee wee nipige subiria baba aje atakupiga na wewe mxiiiewww aisee malez haya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona kajaza misemo ya kawaida tu na wala siyo majina? Bila shaka huyo dogo ni mtoto wa Kishua kama akina Numby tu. Hawajui lolote kuhusu mambo ya kitamaduni. Tungekuwa tunajadili maisha ya akina Tupac au akina Beyonce hapo ungepata mambo deep sana lakini mambo haya ya kitamaduni ni kuwaonea tu !!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ha hahaa hajakosea ..mkuu
[emoji15]
Yeah walishaachana,ni muda sasaSometimes things just don't work out [emoji4]
Kwani kuna habari gani? Kaachana na 21?
Mambo kasmart
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Iiiiyebaaaa
[emoji125]
Yaan ni shida hawana adabu kabisa. Unaweza umbuliwa wakat wa kula either waseme mmh mbona tonge kubwa au mbona unakomba mboga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daa, hao wangekuwa ndugu zangu wala nisingekuwa nafika nyumbani kwao! Unaweza kwenda pale ukaadhiriwa na watoto wao! Kwa watu kama sisi ambao hatuna ile kitu inaitwa thick skin, unaweza kujikuta ushafanya mambo ya ajabu!
Hahahha kweli aisee,, hajazama Deep hata kdogoMbona kajaza misemo ya kawaida tu na wala siyo majina? Bila shaka huyo dogo ni mtoto wa Kishua kama akina Numby tu. Hawajui lolote kuhusu mambo ya kitamaduni. Tungekuwa tunajadili maisha ya akina Tupac au akina Beyonce hapo ungepata mambo deep sana lakini mambo haya ya kitamaduni ni kuwaonea tu !!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakungoja
[emoji124]
Yaan ni shida hawana adabu kabisa. Unaweza umbuliwa wakat wa kula either waseme mmh mbona tonge kubwa au mbona unakomba mboga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hahaha...unataka uache ...maybe uepuke kushinda MMU ..maana kule ndio kuna makando kando yote hayo ...."" mimi huwa napakwepa kimtindo now days ""[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila now natala.niache nimeona siyo poa
Penye ugomvi
Mi [emoji125]