Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Umebwagwa bro ama? HAKUNA cha seasonal wala permanent. Kila kitu kinategemea na malengo yenu. Tatizo ni kuweka mategemeo makubwa katika uhusiano hata kabla hamjafahamiana sawasawa. Ni vizuri kusubiri mpaka cheche za upendo ule wa mwanzo zimezimika na watu wameanza kuonyesha rangi zao halisi kabla ya kuanza kurundika mategemeo. Vinginenevyo kila siku itakuwa ni kurushiana vijembe visivyo na faida tu mitandaoni halafu mnakwenda tena mnafanya makosa yale yale...
 
IMG_20180526_202915_087.JPG
 
Mwanakemia wa Hungary George de Havesy aliyeyusha tuzo za Nobel za wanafizikia wa Kijerumani Max von Laue na James Franck, ili kuzuia utawala wa Kinazi kuzitaifisha. Hata hivyo tuzo hizo za dhahabu ziliundwa tena upya baada ya vita.
 
Mbona kajaza misemo ya kawaida tu na wala siyo majina? Bila shaka huyo dogo ni mtoto wa Kishua kama akina Numby tu. Hawajui lolote kuhusu mambo ya kitamaduni. Tungekuwa tunajadili maisha ya akina Tupac au akina Beyonce hapo ungepata mambo deep sana lakini mambo haya ya kitamaduni ni kuwaonea tu !!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kina Numby wa kishua wanafuatilia hadi royal wedding ila tamaduni wako shallow
 
Back
Top Bottom