Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna familia ya ndugu yangu watoto wamelelewa vibaya mno si ajabu kusikia akimtukana baba au mama mtu nyoko mbwa etc,au mama mtu akitaka kumuadhibu mtoto anaropoka eee wee nipige subiria baba aje atakupiga na wewe mxiiiewww aisee malez haya

Daa, hao wangekuwa ndugu zangu wala nisingekuwa nafika nyumbani kwao! Unaweza kwenda pale ukaadhiriwa na watoto wao! Kwa watu kama sisi ambao hatuna ile kitu inaitwa thick skin, unaweza kujikuta ushafanya mambo ya ajabu!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Daa, hao wangekuwa ndugu zangu wala nisingekuwa nafika nyumbani kwao! Unaweza kwenda pale ukaadhiriwa na watoto wao! Kwa watu kama sisi ambao hatuna ile kitu inaitwa thick skin, unaweza kujikuta ushafanya mambo ya ajabu!
Yaan ni shida hawana adabu kabisa. Unaweza umbuliwa wakat wa kula either waseme mmh mbona tonge kubwa au mbona unakomba mboga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahha kweli aisee,, hajazama Deep hata kdogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…