carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Nilijua ile ya manzese midizini pale[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Parii ya France maa[emoji23] [emoji23] [emoji125]
Umebwagwa bro ama? HAKUNA cha seasonal wala permanent. Kila kitu kinategemea na malengo yenu. Tatizo ni kuweka mategemeo makubwa katika uhusiano hata kabla hamjafahamiana sawasawa. Ni vizuri kusubiri mpaka cheche za upendo ule wa mwanzo zimezimika na watu wameanza kuonyesha rangi zao halisi kabla ya kuanza kurundika mategemeo. Vinginenevyo kila siku itakuwa ni kurushiana vijembe visivyo na faida tu mitandaoni halafu mnakwenda tena mnafanya makosa yale yale...
Mwanakemia wa Hungary George de Havesy aliyeyusha tuzo za Nobel za wanafizikia wa Kijerumani Max von Laue na James Franck, ili kuzuia utawala wa Kinazi kuzitaifisha. Hata hivyo tuzo hizo za dhahabu ziliundwa tena upya baada ya vita.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha
Mwambie tutamtumia selfies tuu kama haamini
[emoji23] [emoji23]
Mwanakemia wa Hungary George de Havesy aliyeyusha tuzo za Nobel za wanafizikia wa Kijerumani Max von Laue na James Franck, ili kuzuia utawala wa Kinazi kuzitaifisha. Hata hivyo tuzo hizo za dhahabu ziliundwa tena upya baada ya vita.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Woiiii
[emoji124]
Mwanakemia wa Hungary George de Havesy aliyeyusha tuzo za Nobel za wanafizikia wa Kijerumani Max von Laue na James Franck, ili kuzuia utawala wa Kinazi kuzitaifisha. Hata hivyo tuzo hizo za dhahabu ziliundwa tena upya baada ya vita.
Ikiwa utafanikiwa kukusanya dhahabu yote iliyoko baharini, basi kila mtu duniani anaweza kupata dhahabu takriban kilo 4. Inakadiriwa kuwa kuna takriban tani milioni 20 za dhahabu baharini.
Khaa kweli nimepunguza umbea nilikuwa hata sijuiYeah walishaachana,ni muda sasa
Hii imekuja baada 21 kusema amber alimcheat kwa mshikaji wake,
Poa shiro, mambo vp, Umeshinda salama ww?
Hakuna kitu hapo Kasmart. Dogo anazingua tuHahahha kweli aisee,, hajazama Deep hata kdogo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaan ni shida hawana adabu kabisa. Unaweza umbuliwa wakat wa kula either waseme mmh mbona tonge kubwa au mbona unakomba mboga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbona kajaza misemo ya kawaida tu na wala siyo majina? Bila shaka huyo dogo ni mtoto wa Kishua kama akina Numby tu. Hawajui lolote kuhusu mambo ya kitamaduni. Tungekuwa tunajadili maisha ya akina Tupac au akina Beyonce hapo ungepata mambo deep sana lakini mambo haya ya kitamaduni ni kuwaonea tu !!!
Mansa Musa, kiongozi wa Dola ya Mali, alitumia dhahabu nyingi huko Misri aliyoishusha thamani na kukaribia kuharibu uchumi.
Rabeka[emoji254]
Mansa Musa, kiongozi wa Dola ya Mali, alitumia dhahabu nyingi huko Misri aliyoishusha thamani na kukaribia kuharibu uchumi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nitazisubiri hizo selfies,safari ni lin?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Carba upo nyonyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125]