KabisaaaaAnadunda tu...
Wakajipange upya...Afutaimuuuu
Wamekua michele sanaIla tangu salah aondoke liver imefunguka sana
Watabiri wooote kimyaaaa...Hali ya mambo jijini Kiev bado tete
Na mawingu haya!!HATUPOI
Liver huwa hawahimili 90, Dakika ya 60-70 wanakata pumzi, Madrid wanafanya yao.Ila tangu salah aondoke liver imefunguka sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mpira haujaisha lkn,, pengine anaweza kufa [emoji23][emoji23]Wenzio liver waliombea papa afe ili wabebe ubingwa hadi dakika hii hamna dalili
Kabisa[emoji16][emoji16]Dunia imesimama kwa muda, macho, akili na masikio yapo Ukraine