myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Toa kama unavyopewa
LimekataliwaMadrid wanaongoza
Mungu awafanyie wepesi wapone mapema aiseeKukosa fainali hizi na za dunia ni hasara kwao
Unawaisha sana taarifa mkuuMadrid wanaongoza
Limekataluwa
HahahahaUnawaisha sana taarifa mkuu
Roho juujuu.....Unawaisha sana taarifa mkuu
Hahahahah aisee myoyaaBao......
Hapana
Wenzio liver waliombea papa afe ili wabebe ubingwa hadi dakika hii hamna daliliDani Carvajal anapokuwa nje Madrid hubeba ubingwa wa Uefa.
Na leo itakuwa hivyo?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hahahahah aisee myoyaa
Ngoja tusuburi...Dani Carvajal anapokuwa nje Madrid hubeba ubingwa wa Uefa.
Na leo itakuwa hivyo?
Anadunda tu...Wenzio liver waliombea papa afe ili wabebe ubingwa hadi dakika hii hamna dalili