myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
22:20
Nitaisimamia ahadi yangu mkuuUsije tu ukarudi na ID mpya mulangira [emoji16][emoji16][emoji16]
Yaan ndoto zake zimezimwa ghaflaYaani nmeskitika alivyotoka...
Ushindi wenu utakuwa na kisingizio sasa..."Oooh Salah asingeumia mapema vile msingeshinda"...Mimi Madrid ila nlitaman kumuona M.salah akicheza dakika zote ila ndo basi tena
HatariiLeo wachezaj wanalia tu maana majeruh watakosa hadi kombe la dunia aiseee
[emoji3]Ushindi wenu utakuwa na kisingizio sasa..."Oooh Salah asingeumia mapema vile msingeshinda"...
Kukosa fainali hizi na za dunia ni hasara kwaoLeo siku ya kulia tu
Ramos hatar sanaRamos ana uzoefu na virafu rafu vya aina hii...
Hahahah hujamuelewa tu. Huyu ni madridUshindi wenu utakuwa na kisingizio sasa..."Oooh Salah asingeumia mapema vile msingeshinda"...