myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
22:14
Mwarabu anaonekana anatoka........................
Kaumia daah sergio ramos banaMwarabu anaonekana anatoka........................
Habari mbaya kwa LiverKaumia daah sergio ramos bana
Mhuni kaisha mfanyia mwarabu yake (Ramos) kafanya yake tayari. Mo Salah ametolewa nje kwa maumivu ya bega na ubavu.Mwarabu analalamika bega.....
Liver vs Madrid
Ramos ana uzoefu na virafu rafu vya aina hii...Mhuni kaisha mfanyia mwarabu yake (Ramos) kafanya yake tayari. Mo Salah ametolewa nje kwa maumivu ya bega na ubavu.
Yaani nmeskitika alivyotoka...Maskin salah hadi analia
So sadMaskin salah hadi analia