Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 47,776
- 257,882
InshallahAsubuhi tena. Habari za asubuhi tanzania. Habari za asubuhi JF, habari za asubuhi wadau wa uzi pendwa.
Tulio kwenye Funga Mungu azisikie swaumu zetu.
●Uvumilivu
●Stahimilivu
●maadili mema
●kutenda yanayompendeza Mungu
●Huruma
●♡upendo
●Hekima
Ndio nguzo bora zaidi kwa muislamu "Allah akbar"