Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

BhKHSEfBmJl.jpg
 
Asubuhi tena. Habari za asubuhi tanzania. Habari za asubuhi JF, habari za asubuhi wadau wa uzi pendwa.

Tulio kwenye Funga Mungu azisikie swaumu zetu.
●Uvumilivu
●Stahimilivu
●maadili mema
●kutenda yanayompendeza Mungu
●Huruma
●♡upendo
●Hekima

Ndio nguzo bora zaidi kwa muislamu "Allah akbar"
 
Back
Top Bottom