InshallahAsubuhi tena. Habari za asubuhi tanzania. Habari za asubuhi JF, habari za asubuhi wadau wa uzi pendwa.
Tulio kwenye Funga Mungu azisikie swaumu zetu.
●Uvumilivu
●Stahimilivu
●maadili mema
●kutenda yanayompendeza Mungu
●Huruma
●♡upendo
●Hekima
Ndio nguzo bora zaidi kwa muislamu "Allah akbar"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], moto haulambwi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haiboooo!! Wacha wapumzike stress zipungue
Maumivu yakiisha wata amka
Huku kwema kipenzi tupo tunawasikitikia Liverpool na kipa wao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwema kabisa dearest...vipi mitaa hiyo wana habari zipi?
Naaam yule angekuwa mdau wa huku angeona.hahah jamni sikupata hata notification kwa vile hajar si mpenz wa jukwaa hili san angekuwemo angesimama badala yangu ila sijambo
Wana bahati yule shabiki wao alitia gundu kukatiza uwanjani ....ingekuwa 4G mamaeeeeHuku kwema kipenzi tupo tunawasikitikia Liverpool na kipa wao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hahahha nimerudi maan kuna mmoja alinambia kamis ftar nikaona nije nimipikie tu maa hakun namnaNaaam yule angekuwa mdau wa huku angeona.
Lakin karibu sana kama usha rudi sote tumefurahi kukuona, mimi.nimefurahi zaid
Cutejakitoo dodiiii [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]View attachment 787366
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], moto haulambwi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wana bahati yule shabiki wao alitia gundu kukatiza uwanjani ....ingekuwa 4G mamaeeee