Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio vizuriiii

Sikutia kibri na hata Liverpool sikuwa nawashabikia [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unakataa timuuuu

Haya bas chukueni kombe lenu na nyie
IMG_20180516_183644.jpg
 
Nilikua nakutafuta nikuambie utofauti wa jamaa na King, yani siku hizi jamaa huwa anaonekana wakati wa kushangilia tu yaani leo kama hakuwepo vile. Bila kumnyamazisha Salah sijui tungemuonea wapi?
Unapoangalia madhaifu ya mtu, Jitahidi pia kuangalia na mazuri yake. Ktk mechi 9 alitupia mfululizo, Kaibuka pia akiwa top scorer wa Eufa. Kiatu ametwaa, Ndoo katwaa, Nyingine mpya kaweka, Anasubiri Desemba au Januari kuweka tena ingine.
Mnambeza Mnyama CR7, Mtu wenu yuko wapi kwa sasa? Anafanya nini? Amekitwaa kipi chenye hadhi & thamani kuliko cha CR7?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna sista alileta PC nimueeke anti virus nika mwambia bwana ili nikuekee naomba nywila yako kwanza.

Aaaah! Alipanic kishenzi[emoji23] bas huwa sisahau
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kaona isiwe shida.. afadhari nyaraka zitafunwe tu..

Na mie nitaleta uniwekee anti vairasi
Ila usiniombe nywila[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kaona isiwe shida.. afadhari nyaraka zitafunwe tu..

Na mie nitaleta uniwekee anti vairasi
Ila usiniombe nywila[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Eti akaanza kusema ye siyo cheap kias hiko
Mi naendelea kukazia "bwana naomba nipe nywila yako bila hivo siez kukusaidia"
Basi akawa ana panic mi na enjoy kweli [emoji23]



Aaa we bile kunipa nywila sku wekei pia
 
Back
Top Bottom