Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Limekaa kimdabuo dabuo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndioo "eti umenyimwa nywila"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unapoangalia madhaifu ya mtu, Jitahidi pia kuangalia na mazuri yake. Ktk mechi 9 alitupia mfululizo, Kaibuka pia akiwa top scorer wa Eufa. Kiatu ametwaa, Ndoo katwaa, Nyingine mpya kaweka, Anasubiri Desemba au Januari kuweka tena ingine.
Mnambeza Mnyama CR7, Mtu wenu yuko wapi kwa sasa? Anafanya nini? Amekitwaa kipi chenye hadhi & thamani kuliko cha CR7?
Haya ni mapenzi mubashara
 
B504EF79-0191-49EA-B6F4-C6549C86F699.jpeg
 
Anaitwa kurlzawa Aliahidi kunipatia mkewe jana Madrid wakishinda. Nimemkumbusha ili atimize kiapo chake nimmilike mkewe nijilie lakini sasa hivi anasema tubadilishane.
Mwanaume hutakiwi kuwa mtu wa kauli mbili, Nikusimamia na kutimiza ahadi huo ndo udume.
Usipoweza kutumiza ahadi, Utaisimamiaje familia?
Mkuu huyo kama mliandikishiana chukua jiko tu, Mwanamme lazima uwe na msimamo na unachokisema.

Alijua sisi madrid kufika fainali tulipiga ramli?
 
Back
Top Bottom