myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], thermos imelala na chai ya moto leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], nzwiiiiiiiiiiiiiii.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wanaziogopa nywila zaooo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio vizuriiii
Sikutia kibri na hata Liverpool sikuwa nawashabikia [emoji23][emoji23][emoji23]
ledada unaona couples wa Madrid wanavopendeza? [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji8][emoji8]View attachment 787411
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], limekaa kimafia mafia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila hilo neno nywila jaman sjui limekaaje!! BAKITA walitishaje!
Haters wa madrid wanaogopa nywila zao( kama tusi hivi)[emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Siyo mbaya sana, huwezi funga kila siku, Lakini Golden boot & Bd'Or zinamhusu tu. Jana pia kaweka nyingine.
[emoji23][emoji23][emoji23], hoi taabani, kaumaliza mwezi vibaya..Jogoo kakatwa kichwa
Wapi Mzee wa liver
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], limekaa kimafia mafia
Unapoangalia madhaifu ya mtu, Jitahidi pia kuangalia na mazuri yake. Ktk mechi 9 alitupia mfululizo, Kaibuka pia akiwa top scorer wa Eufa. Kiatu ametwaa, Ndoo katwaa, Nyingine mpya kaweka, Anasubiri Desemba au Januari kuweka tena ingine.Nilikua nakutafuta nikuambie utofauti wa jamaa na King, yani siku hizi jamaa huwa anaonekana wakati wa kushangilia tu yaani leo kama hakuwepo vile. Bila kumnyamazisha Salah sijui tungemuonea wapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kaona isiwe shida.. afadhari nyaraka zitafunwe tu..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna sista alileta PC nimueeke anti virus nika mwambia bwana ili nikuekee naomba nywila yako kwanza.
Aaaah! Alipanic kishenzi[emoji23] bas huwa sisahau
Messi alikuwa wapi kwenye mechi ya Roma? Maana hata kwenye kushangilia sku muonaNilikua nakutafuta nikuambie utofauti wa jamaa na King, yani siku hizi jamaa huwa anaonekana wakati wa kushangilia tu yaani leo kama hakuwepo vile. Bila kumnyamazisha Salah sijui tungemuonea wapi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kaona isiwe shida.. afadhari nyaraka zitafunwe tu..
Na mie nitaleta uniwekee anti vairasi
Ila usiniombe nywila[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]