Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

JINA la Sergio Ramos si geni masikioni mwa mashabiki wa soka, hasa wa La Liga. Mbali na sifa nyingine ikiwamo uwezo wake wa kutupia mabao, nahodha huyo wa Real Madrid anawavutia wengi kutokana na aina yake ya uchezaji wa kujitoa anapokuwa uwanjani.
 
Ramos aliweka rekodi ya kuwa mchezaji mwenye kadi nyekundu nyingi La Liga (19), akiwazidi wakongwe, Pablo Alfaro na Xavi Aguado, waliokuwa wamekutana na adhabu hiyo mara 18 kila mmoja.

Je, ukiachana na hilo, uliyajua haya kuhusu nyota huyo ambaye pia ni nahodha wa timu ya Taifa ya Hispania?
 
Cutie[emoji7]
IMG_20180527_164725.jpg
 
Back
Top Bottom