Kabsa aseeFulfilment my friend..Kid's heart is fulfilled.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 787687
FanonFrantz [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
umeeleweka vyema bro. AsantehNywila = password....PIN...Code...
Kama sikosei lina asili ya lugha mojawapo ya Kibantu huko Kenya na lilipendekezwa na mwanazuoni machachari na mtetezi mkuu wa ubantu wa Kiswahili Sheikh Nabhany (RIP)
View attachment 787570
Tom and jerry my favourite.
I loove animations kwa kweli[emoji23]
Daah, nimekumbuka nilimsoma miaka ya nyuma sana, moja kati ya watu walioujua sana mfumo wa Ubepari.Fanon
Ata mimi, no matter how old i am.I loove animations kwa kweli[emoji23]
Ramos husherehekea ‘birthday’ yake Machi 30 kila mwaka. Kwa wafuatiliaji wa tasnia ya burudani, watagundua kuwa ni sawa na mwanamama anayefanya vizuri kwenye soko la muziki nchini Marekani, Celine Dion.