myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
17:30
Kesho yake ukihadithiwa unakataa tena unaweza anzisha hata Ugomv [emoji23][emoji23][emoji23]Ile kitu acha kabisa,inakupa ushujaa ambao huna[emoji23][emoji23][emoji23]
Aliyetengeneza ile kitu si mtu mzuri
The violence in the Background was blurred my a myriad of dance moves by Gambino. Its a display of what's happening in America. People pay seem not to pay attention on important stuff wao wanakazana na vitu visivyo na maana. Ndiyo maana akaanza na kumpiga risasi baba yake na yule mtoto Martini halafu akaanza kucheza na nyuma watu wakawa wanafukuzwa. Akaenda kanisani akapiga watu Kalashnikov halafu akaachwa tu. Ujumbe ni kile kilichokuwa kinaendelea nyuma ya Gambino hizi nyingine ni Veneer tu. Iangalie saa hizi halafu usimwangalie Gambino, angalia yale ya nyuma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Hakika sijaielewa mkuu. But nimependa tu jamaa alivyoiweka video yake kama Comics hivi. Lakini ina maana yake katika video.
Kama hutojali nieleze japo kwa ufupi sana. Will appreciate [emoji120]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]njemba nyingi sana zimerudia ile ngoma ipo this is Korea pia.Muangalien jamaa anaitwa Falz kaimba tbis is Nigeria
[emoji23] [emoji23] [emoji23] its funny
Pole [emoji124][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Meme zina niishiaView attachment 787716