Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

The violence in the Background was blurred my a myriad of dance moves by Gambino. Its a display of what's happening in America. People pay seem not to pay attention on important stuff wao wanakazana na vitu visivyo na maana. Ndiyo maana akaanza na kumpiga risasi baba yake na yule mtoto Martini halafu akaanza kucheza na nyuma watu wakawa wanafukuzwa. Akaenda kanisani akapiga watu Kalashnikov halafu akaachwa tu. Ujumbe ni kile kilichokuwa kinaendelea nyuma ya Gambino hizi nyingine ni Veneer tu. Iangalie saa hizi halafu usimwangalie Gambino, angalia yale ya nyuma
Daah asanteh sana mkuu ngoja niichek nakuja na mrejesho.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nawaza nije ipi ingine?View attachment 787720
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yoyote
Screenshot_20180526-134733.jpg
 
Mwanafunzi wa mwaka wa tatu wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (Duce), Emijidius Cornel ameulalamikia uongozi wa chuo hicho kumpeleka Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) ambako alifikishiwa wodi ya wagonjwa wa akili wakati siyo mgonjwa wa akili.

Hata hivyo MNH kupitia kupitia kwa mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano, Aminiel Aligaesha alisema jana, “wataalamu wetu waliona huyo anafaa kulazwa wodi ya wagonjwa wa akili.”
 
Malalamiko ya Cornel

Cornel ambaye ni mratibu wa Umoja wa Wanafunzi wa Duce wanaotumia muda wao wa ziada kujitolea kufundisha katika shule za msingi na sekondari jijini Dar es Salaam, alisema jana kuwa ameshangazwa na tukio la kupigwa na askari wanaolinda chuo hicho lilivyobadilika na kuwa tatizo la maradhi ya akili. Akizungumzia namna sakata hilo lilivyoanza, alisema mwanafunzi mwenzake aliyejiunga katika umoja wao alitaka kujiondoa na alikuwa akidai michango yake.
 
Wakati nafuatilia kumrudishia huku nikiendelea na masomo, alikwenda kushtaki kwa askari wanaolinda hapa chuoni ambao walinikamata na kunipiga.

“Waliponipiga nilikwenda kutoa taarifa Kituo cha Polisi Chang’ombe na niliporudi chuoni kwa ajili ya matibabu nikaanguka na wakanipeleka Hospitali ya Temeke kwa gari la wagonjwa,” alisema Cornel.
 
Alifafanua kuwa alipofikishwa katika hospitali hiyo alitibiwa na kurudi chuoni, lakini siku iliyofuata wauguzi wa zahanati ya chuo walimtaka kurudi naye Hospitali ya Temeke kuchukua nyaraka zake.

Alisema walikwenda naye na gari la wagonjwa na alipopata hizo nyaraka na kurudi chuoni hakuruhusiwa kushuka ndani ya gari.

“Nikafungwa pingu na kupelekwa Muhimbili kwenye wodi ya vichaa, na tulipofika wakasema hawawezi kunipokea na pingu kwa sababu mimi siyo mhalifu.
 
mimi sitahitaji kujua kama najua mpira ama la ishu nikishajua mmefungwa akiii hutakaa karibu yangu nitakucheka hadi ukimbie na uendelee kununa[emoji23][emoji23][emoji23]
Huwezi niletea stress za mpira nyumbani mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hamna utanionea huruma tuu[emoji23] [emoji23]
Huez fanya llte.
Hata ukini tease staumia maana najua huna team[emoji1]
 
Back
Top Bottom