Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hivyo nipelekwe mahakamani itolewe hati ya mahakama ili nipokelewe, wakaenda mahakamani sifahamu mahakama gani wakaja na hati ya mahakama (court order) ndiyo nikafunguliwa pingu na kupokewa, ” alisema mwanafunzi huyo.
Alisema alikaa hospitalini hapo kwa muda wa siku 20 bila kuangaliwa na uongozi wa chuo wala askari waliompeleka, na familia yake ilipata taarifa kutoka kwa marafiki zake baada ya siku ya sita.
Alisema alikaa hospitalini hapo kwa muda wa siku 20 bila kuangaliwa na uongozi wa chuo wala askari waliompeleka, na familia yake ilipata taarifa kutoka kwa marafiki zake baada ya siku ya sita.