Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Mapenzi huleta upofu....Bro mbona post zako zote hapo juu ni kumpondea sana Ronaldo? What is wrong? Rekodi ya UEFA 5 Messi hana lkn.
Ewaaaaaa yaani mimi niko kama huyo wa right hapo,kitu cheusi mangara kwenye mwanga nang'aaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]carba bana
Hakika. Nimeona mapenzi ya mtu kwa Messi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mapenzi huleta upofu....
Messi ana European golden boot 5Bro mbona post zako zote hapo juu ni kumpondea sana Ronaldo? What is wrong? Rekodi ya UEFA 5 Messi hana lkn.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha kunisingizia numby.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ayaaaaaa unajua kukata stimu wenzio halafu unanisingizia mie[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila forex imeliza wengi
Usiondoke, nimeuliza muda wa mapumziko tu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Bas ntaondoka siyo.muda bro
[emoji124]
kwahiyo hicho ndio kigezo cha kumfanya cr7 awe bora mbele messi .mkuu"""?,.....Bro mbona post zako zote hapo juu ni kumpondea sana Ronaldo? What is wrong? Rekodi ya UEFA 5 Messi hana lkn.
Cute[emoji7][emoji7]huyu tena anafanana na zile ligi zako,avatar imekaa kupigana pigana[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Vyeusi navitafuta sana yaani sanaEwaaaaaa yaani mimi niko kama huyo wa right hapo,kitu cheusi mangara kwenye mwanga nang'aaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hahahs.. Humble African njoo huku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha kunisingizia numby.
Fx imechapa watu kuna uzi kule jukwaa la biashara kuna mtu alisema wakimkamata nabii wanamchoma moto[emoji23][emoji23][emoji23]
HongeraVyeusi navitafuta sana yaani sana
Ni zaidi ya messi na kipaji cha mpira
Navitafuta Sana Vyeusi
Taribo West, Edgar Davids, Rigobert Song wakiwa kwenye nyuso za kiutu uzima. Tafadhali nikumbushe wa mwanzo kushoto
Ukipata neema ya kunisaidia kupata nitashukuru sana najua you can do itHongera
Endelea kuvitafuta[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]