Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hakika. Nimeona mapenzi ya mtu kwa Messi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi ni Manchester United fan na nilikuwa namkubali sana Penaldo sasa baada ya kumuona messi kwenye fainali mbili ambazo United alicheza na Barca Nikaona kabisa ronaldo hata akifa na kuzaliwa tena hawezi kuwa kama MFALME MESSI [emoji146]
 
Wote sawa tu,mimi kama mwenyekiti wa chama cha dark skin hiyo rangi hatuitambui[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] Mna vyama vingi humu[emoji3]hivi jaji Mutungi anatambua uwepo wa vyama vyenu [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]hujambo dada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…