Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

kyra_zafran-20180527-0001.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha kunisingizia numby.

Fx imechapa watu kuna uzi kule jukwaa la biashara kuna mtu alisema wakimkamata nabii wanamchoma moto[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbona huyu mtu yupo na ofisi zake zinafanya kazi kama kawaida ,basi tu hawajaamua kumshughulikia
 
Back
Top Bottom