Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ondokana na kulalamika

Siku zote epuka kukaa na wanaopinga ukweli wa kila jambo na msimamo wao siku zote ni kulalamika hata mahali pasipohitaji kunung’unika.

Siku zote jiweke karibu na watu wenye mawazo hasi ambao huangalia mbali badala ya kulaumu kwa kila jambo.

Siyo vibaya ukisoma, kusikiliza maneno ya watu waliofanikiwa.Zingatia ambao tayari wamefanikiwa siyo wanaotaka kufanikiwa watakuchelewesha
 
Zinedine Zidane amesema anajivunia kuweka historia na Real Madrid baada ya kunyakua taji la ligi ya mabingwa dhidi ya Liverpool siku ya Jumamosi.
Real Madrid ilishinda mabao 3-1 huku Gareth Bale akifunga magoli mawili
Real ni timu yenye mafanikio zaidi kwenye historia ya ligi ya mabingwa ikiwa na mataji 13.
Zidane alisema:''hii ni klabu ya wakongwe. Klabu hii imeshinda makombe 13 ya Ulaya nafurahi kuwa sehemu ya historia hii
Aliongeza: '' tunakwenda kufikiria kuhusu tulichokipata, kufurahia wakati huu kwanza.Ni kitu muhimu zaidi kwa sasa''
 
Timu tatu pekee zimeshinda kombe la mabingwa barani Ulaya, Real ikiwa na mataji matano tangu mwaka 1956, Ajax (1971-73) na Bayern Munich (1974-76).
Hata hivyo Real ni ya kwanza tangu kubadilishwa kwa jina la michuano hiyo.
Kiungo Luka Modric anaamini itakuwa ngumu kwa timu kufikia mafanikio ya Real
''Ni jambo la ajabu la kihistoria, aliiambia BT Sport ''Sijui kama kuna mtu atarudia hili siku za usoni.''
 
Mlinda mlango wa Manchester City Joe Hart, 31, ameibuka kuwa chaguo la Manchester United kusaidia na David de Gea, 27. Baada ya meneja Jose Mourinho kuona mlinda mlango namba mbili Sergio Romero, 31 anataka kuondoka.
 
Wakati huo huo Rose ni miongoni mwa walinzi watatu wa kushoto ambao wapo kwenye rada za Manchester United akiwepo pia beki wa kushoto wa Juventus Alex Sandro, 27, na Elseid Hysaj, 24 wa Napoli. Uhamisho huo unatarajiwa kuona Matteo Darmian, 28, akienda Juventus. (Gazzetto dello Sport).
 
Hata hivyo, Paris St-Germain iko kwenye ushindani na Manchester United kunyakua saini ya Sandro ingawa United imeripotiwa kuanza mazungumzo na wakala wa mlinzi huyo mwenye asili ya Brazili.(Manchester Evening News)
 
Mwenyekiti wa klabu ya Ostersunds ya Sweden Daniel Kindberg na meneja wa timu hiyo Graham Potter wamesema wamepokea ombi la kuiongoza klabu ya Swansea City, licha ya kuwa hakuna mazungumzo ambayo yamefanyika mpaka sasa. (Wales Online).
 
Back
Top Bottom