Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Katika jamii hii ya wanadamu ni kodi katika Mali za urithi ndio huzingatiwa sana, pengine unaweza ukashindwa elewa Mali za urithi ni zipi, Mali hizo ni zile ambazo si zao la mwanadamu kama migodi, utalii, mafuta, uwekezaji nk, nje ya hapo sijui utapata kuona lipi, tofauti na wenzentu wa dunia nyingine ambao wanawekeza nje ya Mali za urithi.
 
**************VYAKULA APENDAVYO MWANADAMU********
Vyakula hivyo ni pamoja na vyakula vya wanga, protein na vitamin.
************SIFA ZA MWANADAMU********
Sifa zao hutofautiana kutokana na madaraja yao, kwa kadri daraja linavyoshuka ndio sifa hiyo huwa inaongezeka kwa kiasi kikubwa.
1. Uongo
2. Uzinzi
3. Uchawi
4. Usengenyaji
5. Wizi
6. Uharifu
7. Mauaji
8. Chuki.
9.uasi
10. Udikiteta
11. Kukwepa kodi
12. Abortion
13. Ukosefu wa uaminifu
14. Uchonganishi.
15. Kejeri
16. Kutoheshimiana.
17. Dharau.
18. Maringo
19. Ujinga
20. Utegemezi.
21. Kupenda vitu rahisi rahisi mfano uombewe upate kazi, gari, nyumba, upone ukimwi.
22. Kuamini chochote, mfano mganga anaongeza akili darasani, limbwata, kupanda cheo nk.
23. Utapeli wa kijinga, kuuza viwanja Mara mbili nk.
 
*********UKIKUTANA NA MWANADAMU UFANYAJE********
Cha kwanza usimuamini kwa chochote asemacho, shirikisha vyema ubongo wako katika kila asemalo, maana binadamu ndio mnyama pekee wa hatari kuliko kiumbe yoyote unaye mfahamu kwani sifa zote za wanyama amebeba, hivyo kwa kiasi unacho muogopa simba, chui, nyati, duma ndio muogope hivyo hivyo mwanadamu.
 
Madrid ..mashabiki wao hata wa 5 hawafiki Humu " hao wengine ni Watoto wa kambo wa Madrid "ambao kiuhalisia ni mashabiki wa man u "" wametafuta kivuli cha kujifichia baaada ya kuona team yao imefikwa na ukame wa makombe makubwa "" .....
Ni kweli, baada ya kupatwa na bumbuwazi la Morinho wameona heri wajifiche kwenye mbawa za Madrid angalau kwa muda. Wanasumbua hao[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
2. MBUNIFU ni kiumbe pekee ambaye anaweza kuiga mitindo yote ya ngono ifanyayo na wanyama na viumbe wengine mfano dog style, kifo cha mende, twiga majini, mbuzi kagoma kwenda, na diamond ndio kamaliza kabisa kwa kusema akichuma matembele kwa hiyo hawaishii kwa viumbe tuu bali mimea.
 
3. MTAFITI matokeo ya ugunduzi wa vifaa mbalimbali kama ndege, vifaru nk ni matokeo ya kuwasoma wanyama.
4. HAWAELEWEKI wakati baadhi wakihubiri amani wengine hufanya machafuko, hivyo ni viumbe ambao hawaamini katika fikra sawia.
 
Back
Top Bottom