Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_20180526-151630.jpg
 
11. Akiwa katika hali mbaya hutia sana huruma, kama una roho ndogo kwa vyovyote utamuacha tuu, na hapa ndio ulizaliwa msemo ya kwamba ukitaka kumuua nyani usimtizame usoni kutia huruma tuu hawajambo, utamsamehe hata kama ameharibu nusu ya shamba lako.
 
12. Ana njia mbili za kuacha na mwanaye akajitegemee, mosi husubiri mpaka pale anapoonyesha dalili zote za kupevuka, pili hufanya majaribio ya mara kadhaa kutaka kujua amefikia wapi ambapo huchukua nafaka na kuchanganya na mchanga kisha humpa mtoto wake, kosa atalo fanya mtoto huyo ni kama atajaribu kutaka kutenganisha mchanga na nafaka hizo, basi mama yake atapiga mpaka mtoto akimbie, na akikimbia tuu ndio wameachana kuanzia siku hiyo.
 
13. Ni kiumbe ambaye wanapokutana kimahaba jike na dume huweza kutekeleza mahaba yao kwa kiasi na ufundi ule ule ambao binadamu huutumia, wakitaka watizamane, wasionane inawezekana tuu.
 
14. Ni viumbe wasio waaminifu katika mapenzi, pamoja na kumiliki majike zaidi ya mmoja na majike kumilikiwa lakini bado huweza kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwenzie yoyote nje ya kambi yao.
 
Back
Top Bottom