moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Mbona hujajinyonga hapa mkuu[emoji3] [emoji3]Mimi labda love Ndo itanifanya nijjitundike
Sio football [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona hujajinyonga hapa mkuu[emoji3] [emoji3]Mimi labda love Ndo itanifanya nijjitundike
Sio football [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeshamkumbuka huyu, alikuwa na madevu hiviAnaitwa Alex Lalas beki wa timu ya taifa ya USA,, fainali za dunia za mwaka 1994,unaambiwa huyu jamaa kambini alikuwa anaenda na gitaa baada ya mazoezi anapiga gitaa huku anaimba rock
Hii hapadaaaahh sijaiona hiyo pictr ..nitumie hapa tena aisee,..
Hahaha hahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] aseee, siwezi thubutu kufanya huo ujingaLove ya aina gani hiyo bro? Ain't worth it ...
Unajitundika unamuacha yeye Anaendelea kutafunwa na majamaa. Nefaaa..
AminAmani itawale siku huu
KwishaWeekend inaelekea ukingoni
Yep ndo mwenyew mkuuNimeshamkumbuka huyu, alikuwa na madevu hivi
Asee nini sasa, Israfu au kitu gani?