Hizi comment kusoma kuna raha yake yan lazima uchekeKweli ukisoma na kulike inakuwa bomba sana
[emoji23] [emoji23] nilikua aijui[emoji23] [emoji23] [emoji23] nilisema kazi ya Aleyn ni kung'oa mti na kuacha shimo tena kwa lazima. Ni bingwa wa kuharibu jinsia za watu