ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Komandoo samson
Mimi sina vita na mtuWe siuko kwenye vita na mzee wa liver
Usimwite huyo mimi na wewe tunsamaka njoo uone huku[emoji125] [emoji125]
Yuko kulee juzi alikuwa ana piga stori na wajukuu zake kuhusu mavazi ya 1980's.Miaka hiyo ulikuwepo?Jamani wapi Sky Eclat? Kuna yeyote aliyemwona humu, anijuze
KabisaJina ni jina tu
AiseehKwa moyo mweupe kabisa
Indeedsabato yenye heri
Ha ha ha hili bus kama UDA[emoji4]
Kuna mwingine anekupenda mpenzi.[emoji23] [emoji23] [emoji23] hadi nimeanza kuogopa
Vita vyetu ni dhidi ya shetani tuMimi sina vita na mtu