andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Ndio vileeAiseeh
Ndio vileeAiseeh
Bwihi [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Kweli kabisa naona mafisadi matumbo moto
Hahahaha yaani unampa ya shingo hapo hapoSio paja la nanii yule
Nimeyapokea kabisaYapokee kama yalivyo
Hata mie sina vita na mtuHata mie sina mkuu
Kapotea huyo maana wasolid hatupo hivyo kwenye kujifaliji kwa quotationNimesikia Cole hua anajifariji mwenyewe na wewe unataka kujifariji mwenyewe?
Post chochote upate like toa like upate likes that our rulesToa like upewe like
Ndio suluhisho. Jana nilikupa barua, kimya mpaka leo. Mimi ni binadamu nina moyo wa nyamaNimesikia Cole hua anajifariji mwenyewe na wewe unataka kujifariji mwenyewe?
Atakuja msubiriJamani wapi Sky Eclat? Kuna yeyote aliyemwona humu, anijuze