myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Hatarii*********UKIKUTANA NA MWANADAMU UFANYAJE********
Cha kwanza usimuamini kwa chochote asemacho, shirikisha vyema ubongo wako katika kila asemalo, maana binadamu ndio mnyama pekee wa hatari kuliko kiumbe yoyote unaye mfahamu kwani sifa zote za wanyama amebeba, hivyo kwa kiasi unacho muogopa simba, chui, nyati, duma ndio muogope hivyo hivyo mwanadamu.
sawaTupoo
[emoji120][emoji120]Pengine alibe hela za watu. Lakini kujiua? Si afadhali angetoroka angalau...Ndo hivyo lakini. Safari yake naye ameshaikamilisha na atajuana na Mungu wake. Apumzike kwa amani [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
TupoWanalikes mpoo!!
Saa sita hiyo inagonga mkuu. Kwema huko?Woyooo
MlinziiTupo