Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

**************VYAKULA APENDAVYO MWANADAMU********
Vyakula hivyo ni pamoja na vyakula vya wanga, protein na vitamin.
************SIFA ZA MWANADAMU********
Sifa zao hutofautiana kutokana na madaraja yao, kwa kadri daraja linavyoshuka ndio sifa hiyo huwa inaongezeka kwa kiasi kikubwa.
1. Uongo
2. Uzinzi
3. Uchawi
4. Usengenyaji
5. Wizi
6. Uharifu
7. Mauaji
8. Chuki.
9.uasi
10. Udikiteta
11. Kukwepa kodi
12. Abortion
13. Ukosefu wa uaminifu
14. Uchonganishi.
15. Kejeri
16. Kutoheshimiana.
17. Dharau.
18. Maringo
19. Ujinga
20. Utegemezi.
21. Kupenda vitu rahisi rahisi mfano uombewe upate kazi, gari, nyumba, upone ukimwi.
22. Kuamini chochote, mfano mganga anaongeza akili darasani, limbwata, kupanda cheo nk.
23. Utapeli wa kijinga, kuuza viwanja Mara mbili nk.
Hahahahahahaha
 
*********UKIKUTANA NA MWANADAMU UFANYAJE********
Cha kwanza usimuamini kwa chochote asemacho, shirikisha vyema ubongo wako katika kila asemalo, maana binadamu ndio mnyama pekee wa hatari kuliko kiumbe yoyote unaye mfahamu kwani sifa zote za wanyama amebeba, hivyo kwa kiasi unacho muogopa simba, chui, nyati, duma ndio muogope hivyo hivyo mwanadamu.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Sijamsahau, wala sitamsahau Rashidi Yekini. Huyu alikuwa shujaa wa Nigeria 1994, maana ndiye aliyefungia Nigeria magoli mengi kwenye kufuzu kwa kombe la Dunia 1994, kisha akaiongoza Nigeria kuchukua ubingwa wa Afrika kule Tunisia miezi michache kabla hawajaenda WC Marekani akiwa na wenzake Victor Ikpeba, Finidi George, Daniel Amokachi na Emanuel Amunike bila kumsahau kiungo mshambuliji Austin Jey Jey Okocha, chini ya kocha muholanzi Clements Wasterhoff
Hahahha bro umetisha aisee, mtu mzma finidi george fundi kweli kweli alikuwa
 
Back
Top Bottom