[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]iceman bhana
Me sijambo,sijui wewe
Poleni jirani...Pole iceman
Pole ya nini tena jirani??Poleni jirani...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyu hachiti na workmate siyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Poa sana[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Baada ya kukuona kwa kweli si mbaya
Za toka time ile ati
Ili kujua kama ni kichwa cha kweli kweli au ni dehydration (dalili yake ya kwanza kwanza ni maumivu ya kichwa), mara nyingine jaribu kunywa maji nusu lita au lita nzima kabisa halafu usubiri nusu saa hivi. Kama ni dehydration kitaondoka mara moja. Kukimbilia kunywa dawa siyo wazo zuri kwa sababu kama ni dehydration unakuwa hujatatua tatizo japo kichwa kitatulia. Na kama dawa zina acetaminophen nyingi unaweza hata kudhuru ini lako bila kutegemea.Aaah
Bro nsha piga dawa kitambo
Hapo kama umenisema mwenyee hivi[emoji23] [emoji23]
Hata maji sku fikiria
We kweli uko inloveKweli tena, umpate anayejua maana ya upendo..Yaani maneno yake tu yanakufanya uipakate dunia.
Jirani anaumwa[emoji16][emoji16][emoji16]Pole ya nini tena jirani??
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Pole iceman