Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Wozaaaaaaaa yanini binti umechangamka mpaka raha, we thank God for having youMimi nini tena cole??
Wozaaaaaaaa yanini binti umechangamka mpaka raha, we thank God for having youMimi nini tena cole??
WoyooooTeam weusi [emoji4]
Ahsante madamPole kunywa maji mengi
Hongera kwa kurudi kilingen.Ahsante sana kaka
Kupumzika ndio shda ilipo
Ila nsha twanga panadol ya nguvu
AaahGood idea. Wakati mwingine ni dehydration tu kwa kweli. Ukinywa maji kinaondoka mara moja. Tatizo letu huwa tunakimbilia Hedex kwanza
Kimeacha kuuma??Thanks Pyaar
Thanks jaman
Am super humbled [emoji1] [emoji4]
Nafurahi kuona watu wakipendanaWozaaaaaaaa yanini binti umechangamka mpaka raha, we thank God for having you
Ayiiii! Thanks .Pole
Mkojo kwa mtu mzima??? Kikojozi amaUsirundike nguo chafu hasa zenye uhusiano na chumvichumvi kama jasho na mkojo kwa muda mrefu chumbani pasipo kuzifua bora uziloweke kuliko kuziweka kwenya pipa la taka (Dustbeen)
HahahaaahaAyiiii! Thanks .
Hizi pole jaman mpaka nahisi napona
Ahsante sanaaa