Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Acha kabisa Omarion, kuna watu wana maneno matamu, wanajua kuongea na mupenziwe, wanapenda, wanajali....Jamani [emoji114][emoji114][emoji114][emoji114]
Men's are supposed to be romantically kusudi kuchagiza upendo. Kuna sauti fulani hivi ya kubembeleza unatakiwa uongee na mpenziyo sio kufokafoka all the time.

Pia utani unatakiwa uchukue nafasi kubwa kuukoleza Upendo ila usizidi tu.

Ulishawahi kupendwa hadi ukaona raha ambayo unahisi hii dunia wewe ndo mjanja peke yako teh?
 
Hiyo raha ndo niliyonayo kwa sasa, yaani kama nimeipakata dunia.
 
Mwaga matirio bro tukopi [emoji16][emoji16][emoji16]
 
IMG-20180528-WA0038.jpg
 
Back
Top Bottom