Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuipakata dunia tena....

Love is spirituality na inahappen mysterious way. Unaweza penda hata Jini for no reason ukiulizwa kwanini umependa kigagula wewe unabaki tu kujibu Nampenda hivo hivo tu.
Acha kabisa Omarion, kuna watu wana maneno matamu, wanajua kuongea na mupenziwe, wanapenda, wanajali....Jamani [emoji114][emoji114][emoji114][emoji114]
 
(Sumu pekee iliyokuwa inauwezo wa kuwaangamiza wadudu hawa ilikuwa ni DDT – iliyokuwa ikitumika kuuliwa wadudu wa kwenye kahawa, ambayo kwasasa haitumiki tena au imepigwa marufuku kutengenezwa kwa kuwa huwa na madhara pia kwa binadamu kwa kuvuta tu harufu yake)
Huku wanafunga mahoteli, wanachoma kila kitu, wanafyumigeti halafu wanaanza upya. Mzungu akitandikwa na kunguni usiku kucha kesho yake hoi mpaka anatokelezea kwenye TV. Huwa nachekaga sana [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Jamaniii !!!
Bro wangu mnamuonea tu. Hana hizo tabia kabisa. Na tena hapendagi magoma. Ingekuwa kigoma labda [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Misingi tu bro thank you
 
Natafuta katoto ka kiume kwa hali na mali poti. Hata ka kuasili ni sawa tu...Nitakwenda Nansio nikatafute huko ili kakikua kawe kaprofesa [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hako kakuitwa Shimba junior
Kama mimi vile
 
Back
Top Bottom